Tuesday, September 25, 2012

KWA WALE WANAOANZA MWAKA WA KWANZA-JINSI YA KUKOTOA ASILIMIA ZA MKOPO/ MEANS TEST CALCULATIONS YA LOAN YAKO
 
NIMEONA WATU WENGI WANAHANGAIKA NA HII KITU, NTATOA MTAZAMO WA JUMLA KWA UPEO WANGU, NI HIVI LOAN BOARD KWENYE HII LIST WAMEWEKA LUMP SUM / YAANI JUMLA YA PESA YOTE KWA MWAKA WAKO WA MASOMO 2012/2013 TOFAUTI NA MIAKA MINGINE WANAWEKA GRADE KABISA UNAJUA WEWE NI ASILIMIA NGAPI HIYO JUMLA UNAICHNGANUA KIRAHISI, KWA WEWE ULIYEPAT
A MKOPO NA KWA MUJIBU WA SERA YA BODI KUNA UTARATIBU WAO HUU WA MEANS TEST/ UTAPATA GRADE YA MKOPO KULINGANA NA VIGEZO WALIVYO VIWEKA AMBAVYO MUOMBAJI LAZIMA AVIFIKIE /AKIDHI ILI APATE MKOPO .NA KWA MUJIBU WA HIYO SERA YAO NDIO KUNA HAYO MAMBO YA PRIORITY NA NON- PRIORITY KOZI ,NATUMAINI MNAKUMBUKA WAKATI MNAJAZA FOMU ZA MIKOPO MLISOMA MIONGOZO ILIYOKUWA INATOLEWA NA BODI YA MIKOPO .

MCHANGANUO WENYEWE HUKO HIVI .
1.ADA/ TUITON FEES (HII INATOLEWA KWA GRADE NDIO INA ASILIMIA SASA)
2.MEALS AND ACCOMODATIONS/ CHAKULA NA MALAZI/ BOOM (HII NI FLAT RATE KWA WOTE WANAOPATA MKOPO KUANZIA ASILIMIA YA CHINI KABISA MPAKA ASILIMIA 100% HII NDIO PESA MNAPEWA WOTE SAWA)- NASIKIA SIKU HIZI NI SH 7500/=
3. STATIONARY AND BOOKS ALLOWANCES/ VITABU NA STATIONARI( HII NAYO NI FLAT RATE HAINA PERCENT )
4.PRACTICAL TRAINING/ TEACHING PRACTICES( WANAITA HELA YA FIELD HII INA PERCENT KUTEGEMEA NA GRADE UTAKOPATA) NA HII KUNA BAADHI YA KOZI HUWA SINAANZA FILED KUANZIA MWAKA WA KWANZA..
5. SPECIAL FACULTY REQUIREMENT( KUNA BAADHI YA KOZI HUWA WANAPEWA HII PESA KWA AJILI YA VITENDEA KAZI KAMA DRAWING BOARD CALCULATOR NK
6. PROJECT/ RESEARCH ( HII HUWA WANAPEWA WATU FINAL YEAR I.E 3RD YEAR , 4TH YR N.K
USHAURI
TUMIA HUU MCHANGUNUO KUFANYA HESABU .. NI HESABU RAHISI SANA YA MAGAZIJUTO


No comments:

Post a Comment